Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, August 22, 2013

BREAKING NEWS: MBEYA YALIPUKA MKUTANO WA CHADEMA WA RASIMU YA KATIBA

 
    Sugu akiwa katika jukwaa akiongea na wananchi wake...
 
Kutoka kulia ni Mbunge Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti Taifa  Mbowe, Mwenyekiti Wilaya Mwambigija "Mzee wa Upako, Mbunge Tundu Lisu na Katibu wa Chadema mkoa Boyd Mwabulambo.
Wananchi wakiwa wanasikiliza viongozi wa CHADEMA huku Helikopta ikionekana kwa mbali
                                                     Tundu Lisu akiongea na wananchi
                                     Wazee pia walijitokeza kwa wingi katika mkutano huo
Kama kawaida ya Mbeya Ma Miss CHADEMA

No comments:

Post a Comment