Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Wednesday, September 26, 2012

MBUNGE SUGU AHUDHURIA MAHAFARI YA DARASA LA 7 SHULE YA MSINGI IKUTI - MBEYA MJINI

 Hapo akiwasili katika mahafari....
 Mh. SUGU akijaza kitabu cha wageni
 Watoto wanaohitimu darasa la 7 wakionyesha umahiri wao wa kucheza ngoma mbele ya Mgeni Rasmi Mh. Joseph Mbilinyi
 Watoto wa shule ya Msingi Ikuti wakisoma risala kwa Mgeni rasmi
 Mgeni Rasmi akipokea risala toka kwa wanafunzi walioisoma
 Mgeni Rasmi akiongea na wanafunzi wahitimu, wazazi pamoja na walimu...

 Mh. Mbunge alipata fursa ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri pamoja na kugawa vyeti kwa wahitimu wote...
 Mgeni rasmi hapa akikabidhi zawadi ya fedha kwa wahitimu waliofanya vizuri na nyingine kwa ajili ya kusaidia mahitaji muhimu ya shule...
Hapa Mh. Mbunge akiondoka eneo la mahafari..

...FUATANA NA MH. SUGU KWENYE MKUTANO WA HADHARA KWENYE KATA YA IGAWILO JIJINI MBEYA LEO...

 Mh. Mbunge akiwasili kwenye eneo la mkuntano...
 Umati wa wananchi waliokuwa wakimsubiri Mbunge wao...
 Mh. Sugu akijiandaa kupanda kwenye meza tayari kuzungumza na wananchi wa kata ya Igawilo iliyoko bonde la Uyole Mbeya Mjini...
 Mh Sugu akihutubia umma...
Umma ukiripuka wakati Mbunge wao Sugu akizungumzia harakati za maendeleo Mbeya Mjini...

JIKUMBUSHE MATUKIO... SUGU BUNGENI...Tuesday, September 25, 2012

MH. SUGU ALIPOKUTANA NA BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA - MBEYA MJINI LEO

 
Mbunge Joseph Mbilinyi "SUGU" akitoa taarifa ya utekelezaji wa kazi zake kwa baraza la wazee wa CHADEMA Mbeya mjini aliokutana nao leo tarehe 25/09/2012 jijini Mbeya
Wazee wakimsikiliza Mbunge.....
Wazee walipata nafasi ya kutoa maoni na kuuliza maswali...
Mzee Mwaigomole akitoa nasaha zake kwa Mbunge
Mwenyekiti wa baraza la wazee Mbeya mjini Mzee Mwakagenda akifunga mkutano wa wazee na Mbunge
 
 
Mbunge akiagana na wazee ikiwa tayari ni usiku

Sunday, September 23, 2012