Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Wednesday, September 26, 2012

MBUNGE SUGU AHUDHURIA MAHAFARI YA DARASA LA 7 SHULE YA MSINGI IKUTI - MBEYA MJINI

 Hapo akiwasili katika mahafari....
 Mh. SUGU akijaza kitabu cha wageni
 Watoto wanaohitimu darasa la 7 wakionyesha umahiri wao wa kucheza ngoma mbele ya Mgeni Rasmi Mh. Joseph Mbilinyi
 Watoto wa shule ya Msingi Ikuti wakisoma risala kwa Mgeni rasmi
 Mgeni Rasmi akipokea risala toka kwa wanafunzi walioisoma
 Mgeni Rasmi akiongea na wanafunzi wahitimu, wazazi pamoja na walimu...

 Mh. Mbunge alipata fursa ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri pamoja na kugawa vyeti kwa wahitimu wote...
 Mgeni rasmi hapa akikabidhi zawadi ya fedha kwa wahitimu waliofanya vizuri na nyingine kwa ajili ya kusaidia mahitaji muhimu ya shule...
Hapa Mh. Mbunge akiondoka eneo la mahafari..

No comments:

Post a Comment