Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, December 23, 2011

MH SUGU AWATEMBELEA WAHANGA WA MAFURIKO JIJINI MBEYA MARA TU BAADA YA KUWASILI JIJINI MBEYA

Wakazi wa Ikuti wakimsikiliza kwa makini Mbunge wao mara baada ya kuwasili eneo lililo athiliwa na mafuriko

Ukaguzi na tathimini ya madhala ukifanyika kwa ushirikiano wa wenyeji wetu

Moja kati ya maeneo yaliyo kuwa na nyumba ambazo zilivunjika kabisa
Mh Mbilinyi akimpa pole mama huyu baada ya  nyumba zake mbili kubomoka 

 kuta mmoja uliobaki wa nyumba hii iliyogeuka  njia ya maji wakati wa mafuriko
Mh Joseph Mbilinyi akitoa pole kwa wakazi wa Ikuti

Mh Sugu akimpapole kiongozi wa kijiji kwa maafa yaliyo mpata

madhara ya mvua zinazo endelea

Moja kati ya kuta zilizo sombwa ma mafurika Jijini hapa

Sunday, December 11, 2011

MAELFU WAJITOKEZA KUPATA ELIMU YA URAIA JUU YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

WanaMbeya wakisiliza kwa makini hoja zilizo kuwa zikitolewa na mmoja wa wanachi aliye kuwa akiuliza swali

Mgeni rasi wa konga mano hili mh Joseph Mbilinyi pamoja ma wato maada wakuu mama kaiyula na Bw Basil Rema


Mh Sugu akizungumza na wana Mbeya walio jitokeza kupata elimu juu ya mchakato wa katiba mpya

umati mkubwa wa wanachi wakitoka katika ukumbi ambamo lilikuwa likifanyika tamacha hilo lililo anza saa 4:00 asubuhi mpaka saa 12:30 jioni