Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Monday, December 10, 2012

Umoja wa wazee wastaafu wamtembelea Mbunge...

..Mbunge wa Mbeya-Mjini akiongea na M/kiti na Katibu wa Umoja wa Wazee Wastaafu wa Mbeya, walipomtembelea nyumbani kwake ...Umoja huu wa wazee wastaafu unatarajia kufanya mkutano wao mkuu wa kwanza jmosi hii mjini Mbeya...