Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Monday, November 15, 2010

Mh JOSEPH MBILINYI AKIAPA KUWA TUMIKIA WATANZANIA

Mh JOSEPH MBILINYI akiapa kuwa tumikia watanzania na haswa wananchi wa jimbo lake la MBEYA MJINI
Mh. Joseph Mbilinyi akipongezwa na Spika wa Bunge Mh Anne Makinda mara baada ya kula kiapo.

Wednesday, November 10, 2010

SUGU NDANI YA MJENGO ( Kumekucha Bungeni )

Joseph Mbilinyi ngulii wa Bongo Fleva aka MR. II aka Sugu akiwa katika pozi nje ya mjengo wa bunge baadhi ya watu walisema kuwa hataweza lakini mvua ya ushindi wa kura alizopata kutaka kwa wananchi wa jimbo la Mbeya mjini ndizo zilizowakata ngebe wabaya wake kama kina nanihiii
Sugu akiongea na wandishi wa habari katika eneo la Bunge leo , aliwaambia waandishi kuwa kuja bungeni ni kama anakuja kuanza Form I lakini baada ya kuwakuta makamanda wa habari aliofarijika sana.

Monday, November 1, 2010

SUGU ATANGAZWA RASMI KUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI waandishi wa habari mbalimbali waki fanya mahojiano na SUGU baada ya kutangazwa mshindi
 Mr II akibadilishana mawazo na Mkoloni ambaye pia alikuyepo kusimamia kura za SUGU  Jijini Mbeya
 Hapa zoezi la kumtangaza mshindi likiendelea ndani ya chumba cha kuhesabia kura

Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini aki pongezwa na viongozi  pamoja na marafiki 


wananchi waki shangilia ushindi katika moja wapo ya vituo vya kupigia kura

WANANCHI WA JIJI LA MBEYA WALIAHIDI NA SASA IMEKUWA

Dr Slaa na Joseph Mbilinyi mshindi wa kiti cha ubunge jimbo la mbeya mjini anayesubiri kutangazwa rasmi na NEC