Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Monday, January 30, 2012

MH SUGU AUNGURUMA KWA KISHINDO KIBAHA MAILI MOJA

Mh Joseph Mbilinyi akihutubia maelfu ya wakazi wa Kibaha Maili Moja  katika mkutani wa hadhala,Mkutano huu ulikuwa ufanyike tarehe 14 mwezi wa kwanza na kuhailishwa kutokana na Msiba wa  Mh Regia Mtema

Kamanda John Heche Pale Kibaha katika mji mdogo wa Maili Moja 

Mkutano huu ulizaa matunda ya baada ya aliyekuwa katibu wa ccm kata ya maili moja akichukua kadi ya chadema

Wednesday, January 11, 2012

DKT SLAA NA MH SUGU WAFANYA MKUTANO MKUBWA KATA YA NZOVWE JIJINI MBEYA

Dkt Slaa akijadiliana jambo na katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya katika mkutamo kata ya Nzovwe jijini Mbeya

Mh sugu akiwahutubia wakazi wa Nzovwe kabla haja mkaribisha Dkt Slaa jukwaani

Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwaelezea Wanambeya  mchanganuo wa mfuko wa elimu jimbo la Mbeya mjini,na kufanya wakazi wa Nzovwe kuonyesha kuguswa sana na mpango huu wa elimu utakao nyanyua matumaini makubwa kwa vijana wa Mbeya mjini kwa kupata fursa za kulipiwa ada za vyuo vikuu kwa watakao fanya vizuri na wasio jiweza.
Dkt  Slaa akiwashukuru wakazi wa Nzovwe kwa kukiamini Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uchaguzi mdogo kwa kumchagua Diwani kutoka CHADEMA. 

Umati mkubwa wa wanambeya ukimshamgilia kwa furaha kubwa Dkt Slaa wakati akiwahutubia
Baada ya mkutano maelfu ya Wanambeya wakawasindikiza Slaa na Sugu mpaka hotelini kwa maandamano takriban kilomita tano kutoka viwanja vya mkutano

Dokta akisisitiza jambo kwa mwenyeji wake Mh Sugu
''.......Chademaa chama makini ....Chademaa mkombozi wetu .....''. Wanambeya wakiimba kawa furaha kubwa

Mh Sugu na Dkt Slaa wakiwapungia mikono wakazi wa stendi kuu wakati wakipita kwa maandamano makubwa ya amani ya kipekee kabisa kuwahi tokea jijini Mbeya

Tuesday, January 10, 2012

DR SLAA AINGIA JIJINI MBEYA, NA KUPATA MAPOKEZI MAKUBWA KUTOKA KWA WANAMBEYA

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi akimkaribisha Dkt Slaa jimboni kwake 

Mbunge wa Mbozi magharibi Mh David Silinde akisalimiana na Dkt Slaa Dkt Slaa, Mh Sugu na Mh David Silinde 

Umati mkubwa ukishangilia kwa furaha

Maelfu ya wakazi wa jiji la Mbeya wakimshangilia Dkt Slaa katika eneo la Mwanjelwa
Monday, January 9, 2012

PARTY WITH MP NA MARAFIKI ZAKE WAKIANZA MWAKA MPYA WA MATUMAINI KWA WANAMBEYA KIELIMU BAADA YA KUANZISHA MFUKO WA ELIMU WA JIMBO LA MBEYA MJINI

Kizalendo zaidi


Jikoni hapo tayari kwa kuliwa

King Kiboya pamoja na Dj BBG

Daniel Kamili ( Danny Msimamo) Na Dotto wa Mapacha

Mwenyekitu wa CHADEMA wilaya ya Mbeya Mjini John Mwambigija akisalimiana na mwenyeji wake Mh Sugu


Mbunge na marafiki

Marafiki kutoka Mbeya Cement Campany

Mh Diwani wa kata ya Forest Boidi Mwabulambo akisema mawili matatu

Wafanya biashara wa Mbeya ambao pia ni marafiki walikuwa na neno lakusema

Mh Joseph Mbilinyi akiwatakia heli ya mwaka mpya marafiki pamoja na wageni wengine alipopata nafasi ya  kuwa elezea juu ya mfuko wa elimu unao kwenda kuanzisha ujilikanao kana Mbeya Educational Trust Fund kama tumaini jipya kwa Wanambeya 

Mc wa shuhuri hii Bwana Fredric Maliki AKA Mkoloni akisisitiza jambo

Tuka uanza mwaka kwa kufungua shampeni 12 tuki ashilia mwaka 2012

Mh sugu akishow love na kina dada pia