| Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi akimkaribisha Dkt Slaa jimboni kwake |
| Mbunge wa Mbozi magharibi Mh David Silinde akisalimiana na Dkt Slaa |
| Dkt Slaa, Mh Sugu na Mh David Silinde |
| Umati mkubwa ukishangilia kwa furaha |
| Maelfu ya wakazi wa jiji la Mbeya wakimshangilia Dkt Slaa katika eneo la Mwanjelwa |
No comments:
Post a Comment