Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, December 23, 2011

MH SUGU AWATEMBELEA WAHANGA WA MAFURIKO JIJINI MBEYA MARA TU BAADA YA KUWASILI JIJINI MBEYA

Wakazi wa Ikuti wakimsikiliza kwa makini Mbunge wao mara baada ya kuwasili eneo lililo athiliwa na mafuriko

Ukaguzi na tathimini ya madhala ukifanyika kwa ushirikiano wa wenyeji wetu

Moja kati ya maeneo yaliyo kuwa na nyumba ambazo zilivunjika kabisa
Mh Mbilinyi akimpa pole mama huyu baada ya  nyumba zake mbili kubomoka 

 kuta mmoja uliobaki wa nyumba hii iliyogeuka  njia ya maji wakati wa mafuriko
Mh Joseph Mbilinyi akitoa pole kwa wakazi wa Ikuti

Mh Sugu akimpapole kiongozi wa kijiji kwa maafa yaliyo mpata

madhara ya mvua zinazo endelea

Moja kati ya kuta zilizo sombwa ma mafurika Jijini hapa

No comments:

Post a Comment