Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, September 20, 2012

R.I.P. BRO YOHANA MWAKATOBE, MBUNGE ALIPOKUWA MSIBANI

Jiji la Mbeya lilikumbwa na simanzi pale alipofariki mmoja wa kijana maarufu Yohana Mwakatobe ambaye alikuwa anapatikana haswa mitaa ya Mwanjelwa na Mafiat, Mazishi yalifanyika nyumbani kwao Mwanjelwa Mbeya na baadaye kuzikwa kwenye makaburi ya Sabasaba
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI!
 Hapa Mbunge Joseph Mbilinyi akiwa na baadhi ya waombolezaji msibani
 Mheshimiwa SUGU akiongea neno kwa waombolezaji msibani
Hapa ni makaburini Mbunge akiwa na viongozi wa CHADEMA -jijini Mbeya
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtaa CHADEMA, Katibu wa CHADEMA Mbeya mjini Criss Mwamsiku, Diwani viti maalumu CHADEMA wakimkaribisha Mbunge alipowasili msibani

No comments:

Post a Comment