| Peoples!!!!!!!!!!!!!!!................POWER!!!!!!!!!!!!!!!!.... |
| Mh Naomi kaiyula akiwasalimia wakazi wa Mbembela |
| Mh Sugu akiwa salimia wana mbeya kwa salam ya chama kabla haja mnadi mgombea udiwani kata ya Nzovwe |
| Mvua sikikwazo sisi tunafanya mkutano hivyo hivyo tofa uti na wenzetu walio kimbia na kutelekeza mkutano wao kama inavyo onekana hapo jini |
| mkutano ulio telekezwa katika viwanja jirani na mkuta wa CHADEMA KATIKA eneo hilo hilo la Mbembela |
| Umati mkubwa wa watu ulio jitokeza katika eneo la mkutano bila kujali Mvua iliyo kuwa ikinyesha wakati huo |
| Chademaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!..................Vemaaaaaaaaaaaaaa |
| Sugu aki mnadi mgombea wa udiwani kata ya Nzovwe |
| Katibu wa mbunge Bwana fredric maliki (MKOLONI ) na hakuwa nyuma kuwa elimisha wanambeya kwa kuwapa kipande kifupi cha wimbo wake mpya Kauli bila vitendo |
Big up sugu mzalendo wa ukweli your the revolutionary fighter ni mimi
ReplyDeletegeofrey francis
working at jigambe technologies
site yetu www.jigambe.com
nakusupport sana.