Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, September 16, 2011

Soko la Sido linateketea kwa moto sasa hivi.

Soko la mwanjelwa[SIDO] likiendelea kuteketea kwa moto,hakuna jitihada zozote za kuuzima moto huo huku mamia ya wafanyabiashara wakiwa hawana la kufanya kutokana na wingi zito la moshi na moto mkali unaoendelea kumalizia soko la sido......

2 comments:

  1. Hali tete sana sijui hili suala la masoko ya mbeya kuwaka moto itaisha lini...

    ReplyDelete
  2. Nafikiri watu wa mbeya wanahitaji msaada sasa hivi na sio tofauti za siasa kwa uelewa wangu unataka kusema serikali ya CCM hawajahangaika na lolote! wewe kama mbunge umewasaidi vipi wapiga kura wako

    ReplyDelete