Taswira mpya baada ya siku sita toka soko lilipo teketea kwa moto na
ujenzi wa vibanda ukiendelea kwa kasi ya ajabu
| Mh Mbunge akisalimiana na moja kati ya wahanga wa ajari ya moto katika soko la Sido |
| Wahanga wakitoa maoni yao juu ya nini kifanyike ili soko lirudi katika hali yake kama zamani |
| Baadhi ya wafanya biashara wakubwa sokoni hapa wakizungumza na Mbunge wao Joseph Mbilinyi |
| Akina mama nao hawakuwa nyuma kutoa shukrani zao kawani ni upendo wa ajabu kutembelewa na Mbunge katika maeneo yao ya biashara haswa sokoni |
| Jamani poleni na shuhuri ya ujenzi |
| Jamani poleni na shuhuri ya ujenzi |
| lundo la mabaki ya takataka haswa mabati katika njia za kuingia sokoni hapa |
| Sugu akimwambia Mh Diwani wa forest ahakikiswe usafi unafanyika ili watu wapate njia ya kupitisha magari na kuingiza bidhaa zao kwa urahisi |
| Mh Joseph Mbilinyi akiendelea na ukaguzi sokoni |
| mafundi waki endelea na kazi ya kuchomelea nguzo za makontena |
| moja kati ya majeneleta yanayo tumika katika shuhuri ya kuchomelea makontena sokoni hapa |
No comments:
Post a Comment