Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, September 16, 2011

JICHO LA UCHUNGU NA KAULI YA POLE KWA KILA MMOJA ALIYEGUSWA NA KUUNGUA KWA SOKO LA SIDO MWANJELWA-MBEYA

Ajali na Maafa Nchini yanazidi kushika Kasi,Kama Sikosei Hii ni mara ya Tatu kusikika Kuungua kwa Masoko Mkoani Mbeya., la Kwanza ni SOKO LA MWAJELWA,SOKO LKA UHINDINI na Sasa ni SOKO LA SIDO/Mwanjelwa.!
zifuatazo ni Baadhi ya Picha katika hekeheka za Uokoaji mali


Hekaheka za Uokoaji wa Mali
Moja ya Wafanyabiashara aliyeunguliwa Mali zake akiwa Amezimia baada ya Mshtuko Mkubwa wa Kuona Mali zake zikiteketea

Upande wa Pili sehem ambapo Soko jipya linajengwa kukiwa kumejaa Umati Mkubwa wa Watu
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Ezekiel Mgeni akitoa Maelezo Jinsi gani wanajitahidi Kudhibiti Kutokea kwa Ajali Eneo hilo,Moja ya Mfanyabiashara akiwa amejuruhiwa na Kitu chenye Ncha Kali kichwani wakati akiokoa Mali zake
                                     Zimamoto ikiwasili kwa Kasi Eneo la tukio

Mshike Mshike

Kiasi kidogo cha Mali zilizo okolewa huku zingine zikiibwa na Kuungua kabisa na Moto
Soko la SIDO likiacha Historia
Baadhi ya Mali zilizo Okolewa
Umati wa Wananchi Eneo la Tukio
Baadhi ya Wafanyabiashara wakishuhudia Mali zao zikiteketea

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu,

No comments:

Post a Comment