Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, September 16, 2011

NI SIMAZI KUBWA KWA WANAMBEYA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KABISA


               Juhudi za uokoaji mali ziki fanyika katika moja ya njia za kutokea sokoni hapa
 Umati mkubwa wa watu walifulika katika kituo cha magari kabwe kushuhudia tukio hiki kama wanavyo onekana hapo juu
 Mabaki ya vibanda pamoja na maduka yaliokuwepo katika eneo hili , ina semekana kulikuwa na wafanya biashara zaidi ya 1400 katika soko hili
 Wanajeshi pia walikuwepo kuongeza nguvu katika uokoaji wa mali za wafanyabiashara pamoja na kuongeza ulinzi
                       Sugu akipita huku na kule kuhakikisha kazi ya uzimaji moto ina endelea
Mh mbunge akitafakari jambo katika eneo la sido ambapo sehemu kubwa ya soko lilikuwa limekwisha teketea kabisa pia anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu.

                  Uokozi wa mali uki endelea sokoni hapa kama linavyo onekana Gari hilo

No comments:

Post a Comment