Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, November 11, 2011

VIJANA WA MWANJELWA WAMLILIA MTETEZI WAO SUGU AWAOKOE

Kutokana na Vurugu kubwa inayoendelea mpaka sasa Maeneo ya Mwanjelwa haya ndio matokeo ya Polisi waliowapiga Risasi wananchi baada ya kushindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM
 
majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo
 hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne
wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi

Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
 
Hali Hlisi ya Machafuko

 

Polisi wakijaribu Kutuliza Ghasia eneo la tukio dhidi ya Wamachinga
Wananchi wakikimbia kuokoa Maisha yao
Mbio dhidi ya Machafuko

Oooh Mwanjelwa ya WanaMbeya....
 
Baadhi ya Sauti za Vijana zilisikika zikiimba Nyimbo mbalimbali za kumtaka Mkombozi wao Joseph Mbilinyi (SUGU) aje kuwaokoa maana wamechoka kuonewa.

2 comments:

  1. Kwa nini polisi wanatumia risasi za moto kutuliza vurugu? Huu ni uzandiki wa hali ya juu usioweza kuvumilika. Na sisi raia tuvuke boda tukachukue mashine za kupambana nao? Kambi za wakimbizi mbona bunduki nzito zinapatikana, wakiendelea itabidi mbinu hiyo itumike. Wakimwaga mboga si tumwage ugali.

    ReplyDelete
  2. polisi wanaongeza ukubwa wa tatizo wakishirikiana na hao ccccccccmmmmm

    ReplyDelete