Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Saturday, November 12, 2011

Mh SUGU ATEKA MBEYA,, VURUGU KWISHA!!! MACHINGA HURU KUFANYA BIASHARA KAMA MWANZO

Maelfu ya wakazi wa jiji la Mbeya  wakimsikiliza kwa makini Mbunge wao 

 
Mh SUGU akizungumza na umati wa wakazi  wa jimbo la Mbeya mjini ambao wakisubili tamko lake kwa hamu
Mh Diwani , kata ya Forest akimkaribisha Mh Sugu (  Gorofa la OTU eneo lililo tumika kama jukwa kutokana na umati mkubwa wa wanambeya )Maelfu waki msindikiza Mbunge wao ofisi ya CHADEMA wilaya


Jiji la zizizima kwa hoi hio  na ndelemo 
Mzungu nae hakuwa nyuma kuonyesha ishara inayotumiwa na  CHADEMA huku akisema Peoplessssssss......
umati ukiitikia  Powerrrrrrrrrrr !!!!!!!!!!!!!!!!!!


Umati uli sikuma gari laMbunge  kwa takribani kilomita mbili kutoka Kabwe hadi Ofisi ya chama wilaya.
Hapa  Mh Sugu akiwashukuru wananchi kwa kumsindikiza hadi ofisi za Chama cha CHADEMA  eneo la Mama John.


Wananchi wakirudi nyumbani baada ya kumsindikiza ofisini mbunge ya Mh Joseph Mbiliyi
Baada ya mkutano Mh  Sugu alikwenda moja kwa moja Hospitali ya RufaaMbeya kuwaona majeruhi wa vuruguza Machinga na Polise


Mh Joseph Mbilinyi akiingia wodi namba 1 ya Hospitali ya Rufaa Mbeya kuwataka hali majeruhi wa vurugu za Machinga na police 


na haya ni baadhi ya majina ya walio jeruhiwa na kulazwa katika hodi namba 1 hapa hospitali ya Rufaa

1 comment:

  1. Ndugu yangu Joseph Mbilinyi(aka SUGU)nimeshuhudia Watu wa Mbeya wanavyokupenda,Kukuamini na Kukusikiliza hivyo basi Unatakiwa kuwalipa UONGOZI ULIOTUKUKA katika kutatua matatizo ya wana mbeya Mjini inabidi kutumia njia ya kuwashirikisha wananchi bila kubagua ili kujuo kama kuna mkwamo waweze kueleza wenzao na wewe kueleweka mipangilio yako kwa weupe!
    Regard,
    Joseph Alan Mkwati

    ReplyDelete