Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 24, 2010

BLOG HII NI MPYA (IKO KWENYE MATENGENEZO)

Tunakukaribisha uungane nasi katika harakati za kuhakikisha Mr II sugu anaingia bungeni ili kuendeleza harakati za kumkomboa Mtanzania kutoka kwenye matatizo ambayo yanamkabili kwa ajili ya uroho wa wachache.

 TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI ILI KUHAKIKISHA TUNAFANIKIWA

KARIBUNI - Tutatangaza njia za kutuma mchango wako kwa Joseph Mbilinyi (Mr II SUGU) ili kumsaidia katika kampeni

1 comment:

  1. Tunakukaribisha uungane nasi katika harakati za kuhakikisha Mr II sugu anaingia bungeni ili kuendeleza harakati za kumkomboa Mtanzania kutoka kwenye matatizo ambayo yanamkabili kwa ajili ya uroho wa wachache.

    TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI KUHAKIKISHA TUNAFANIKIWA HIZI HARAKATI

    KUMBUKA - KARIBUNI TUTATANGAZA NJIA YA KUMCHANGIA SUGU KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE

    ReplyDelete