Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Wednesday, September 22, 2010

Wananchi wa jiji la Mbeya wampatia ushirikiano mkubwa JOSEPH MBILINYI katika mikutano yake ya kampeni na kumuahidi ushindi wa kishindo.

 
 Akina mama wa Itende wakisalimiana na mgombea ubunge Joseph Mbilinyi
  
Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini katika mkutano 
    
 Mgombea wa ubunge Joseph Mbilinyi akizungumza na wananchi 

 Wananchi wa Nsalaga wakisikiliza kwa makini sera za CHADEMA jijini Mbeya 
Kulia ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya na Wana CHADEMA akibadilishana mawazo katika moja ya mikutano ya kampeni jijini Mbeya 
Mkereketwa wa CHADEMA akiwa amebandika picha ya kampeni katika shati lake kama alivyokutwa maeneo ya Ilemi darajani huku akiwa ameshika kadi ya kupigia kura mkononi 
  

  
G SOLO akiimba pamoja na umati mkubwa wa watu katika moja ya mikutano ya kampeni za mgombea ubunge bwana Joseph Mbilinyi 
  
Akina mama hawa walisimamisha gari ya mgombea ili wampe baraka zao Joseph mbilingi ( SUGU )

1 comment: