Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Sunday, September 19, 2010

Yaliyo jili katika tamasha la uchangiaji kampeni za JOSEPH MBILINYI (SUGU)

      
 Hapa sugu na Danny Msimamo katika meza kuu
Msanii kutoka Isanga Family akifanya vitu vyake jukwaani
Wagombea wa ubunge wakizungumza mawili matatu katika stage mjini Tunduma 
 
 Mkoloni akiwapa burudani wakazi wa Tunduma 
 
 Sugu on stage ilikua babkubwa sana 
Mashabiki wa kiangalia show ya Sugu 
        Huyu Dj ni Bwana mdogo tu  lakini kazi yake ni noma hapo akiwa na G solo wabadilishana mawili matutau ili show iende kama ilivyo pangwa

No comments:

Post a Comment