Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, September 16, 2010

Leo tulikuwa Mwansekwa nnje kidogo ya jiji la Mbeya

    
Wananchi wa Mwansekwa waki mkaribisha Mheshimiwa JOSEPH MBILINYI 
JOSEPH MBILINYI (Mr II ) aki hutubia wananchi 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya nae alikuwa na jambo la kuzungumza na wananchi 
 Hapa Mr Mbwembwe ali kua akitoa buruda ni kwa wakazi wa mwansekwa 
  
POLICE pia wali kuwepo eneo la mkutano iliku hakikisha usalama unakuwa ni wakutosha .

No comments:

Post a Comment