Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Wednesday, September 1, 2010

HISTORIA YA HARAKATIKuanzia kesho tutakuwa tukiwaletea Uchambuzi wa nyimbo za harakati za Mr II – SUGU: HISTORIA YA HARAKATI Huu utakuwa ni uchambuzi wa nyimbo zake alizowahi kutamba nazo miaka ya nyuma na ya hivi karibuni ambazo nyingi ukizisikiliza zinaonyesha jinsi Mr II alivyokuwa akitumia Sanaa yake ya muziki katika kutoa elimu mbalimbali kwa jamii, ikiwemo kupigia kelele mambo yaliyoonekana kukwamisha maendeleo ya wananchi na kitu kitakachofurahisha zaidi ni kuwa Sugu inaonyesha alijitabiria kuwa atakuja kuingia Bungeni na alitamani kuingia bungeni tangu mika ya 90 lakini hii ni kupitia mashairi yake. NA KARIBUNI KUANZIA WIKI IJAYO PIA KUTAKUWA NA ALBUM YA : MR II – SUGU “The Best Collection” HISTORIA YA HARAKATI Kila atakayeinunua atakuwa amechangia katika Kampeni za Joseph Mbilinyi, hivyo usikose ili uweze kuhakikisha kuwa Sugu anafanikisha kampeni zake . KWA MAELEZO ZAIDI: +255 715 950535

No comments:

Post a Comment