Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, September 2, 2010

KUTOKA JUKWAA LA MUZIKI MPAKA SIASA

Ni wakati wa kutoa nafasi kwa Mr II Sugu kuingia Bungeni ili kumtetea Mwananchi wa Tanzania sababu ametumia Jukwaa la Muziki kwa miaka mingi akitetea wanyonge na kukosoa pale alipoona haki aitendeki/inapindishwa.
HIVYO AHIITAJI MJADALA Mr II - SUGU ANAFAA KUINGIA MJENGONI SABABU ATAKUWA NI MOJA YA CHACHU YA KUCHOCHEA MAENDELEO KATIKA TAIFA HILI.

No comments:

Post a Comment