Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Wednesday, September 15, 2010

Joseph Mbilinyi na harakati zake za Ubunge Mbeya mjini

Hapa Msafara wa Joseph Mbilinyi ukipita katika jiji la Mbeya mjini
Hapa akinadiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya
Wananchi wakipunga mkono kudhiirisha kumkubali Sugu kuwa Mbunge wao
Makamanda wa CHADEMA wakiweka njia kwa ajili ya Sugu kupita
Moja ya Gari linatumika kwa PA katika kampeni za Sugu

1 comment:

  1. Kaka nimekubali kwa namna tunayoona unavyotuma picha hii ndio inatakiwa tene nakuomba uwe na mtu ambae ni shapu anaejua maaana ya teknohama awe analinki na blogu mbalimbali kutangaza habari zako ili iwe rahisi watu walio nje ya mbeya kujua wafanya nini hapa ndio unaweza pata michango mbalimbali ili kuwezesha kampeni yako kwenda vizuri.Pia tumia facebook na twiter ili kwenda mbali zaidi japo vyombo vya habari vinabana. Pambana kamanda utafanikiwa ILA USIPUUZE USHAURI HUU

    ReplyDelete