Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Sunday, September 15, 2013

Breaking News: SUGU APOKELEWA NCHINI MBEYA KISHUJAA..... WANANCHI WAMSIHI AZIDI KUKOMAA

Mh. Joseph Mbilinyi - Sugu akiongea na wana Mbeya waliompokea leo hii 


Mbunge wa Mbeya mjini leo hii amepokelewa kishujaa na umati wa wana Mbeya baada ya kuwasili akitokea Bungeni na kusimulia kilichotokea Bungeni..... 
 
                                                                   Habari zaidi zitawajia.......


No comments:

Post a Comment