Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 23, 2011

Sehemu ya Marekebisho ya Barabara za Jiji la Mbeya

 Ukitembea Baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya kwa Sasa utakuta Ujenzi ukiendelea ili kuboresha Barabara za Jiji kama Inavyoonekana katika Maeneo ya Posta na BP
Eneo la POSTA

Eneo la BP (TRA) 


Parking ya Ofisi ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya

No comments:

Post a Comment