Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 23, 2011


Biashara Huria kwa Mazingira Huria..,


Soko Jipya Lililohamishiwa Maeneo ya Sokoine baada ya Kuungua kwa Soko la Uhindini

Mtaani wa Ilemi., wakina Mama hawa waliniambia huwa wanafanya Biashara zao Mbalimbali Mtaani kwakuwa Maslahi wanayopata na Malipo ya Ushuru Sokoni havilingani hivyo basi Asubuhi wanauza Vitafunwa na baada ya hapo ni Mboga mboga.

No comments:

Post a Comment