Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 23, 2011

HII NI SEHEMU TU YA JIJI LA MBEYA MIAKA MIWILI IJAYO ITAKAVYOKUWA


Huu ndio ubunifu wa daraja la juu kwa watembea kwa miguu wa jiji la Mbeya eneo la Mwanjelwa kama ulivyobuniwa na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya. Juhudi hizi zinapaswa kuungwa Mkono na kila Mmoja.

No comments:

Post a Comment