Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 23, 2011

"ANTI-VIRUS Vol 1 Part 2 Coming out Sept 11...With No Apology!!!"- Sugu

Mtu Mzima Joseph Mbilinyi kama anavyofahamika kwa Jina la Serikali na kupitia kwenye Wall yake ya Facebook amefunguka kuhusu Ujio wa ANTI-VIRUS Vol 1 Part 2 septemba 11 Mwaka huu., Aidha hili ni Jibu la Maswali Mengi yaliyokuwa yakiulizwa na Wadau wa Muziki Juu ya Ujio wa Ngoma hii so cha kufanya Stay tune.!!

No comments:

Post a Comment