Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, August 23, 2011

Pitapita zangu Barabara ya Sokomatola Uyole

Jamaa pande za Soweto kama anavyoonekana

Anza na hii then chini nakupa Maelezo kidogo

Hili ni Eneo la Ujenzi Mbeya Sehemu amabpo Magari makubwa ya Mizigo yanapark., Sehemu hii inalalmikiwa sana Maana jamaa husababisha Foleni kwa kuwa Ugeuza Magari yao hapo huku sehemu hii ikionekana Dhahiri ni Ndogo

No comments:

Post a Comment