Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Monday, October 18, 2010

JOSEPH MBILINYI - SUGU KATIKA MKUTANO WA KAMPENI MABATINI


 Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini Bw. Mwambigija akimwaga upako kabla ya Sugu kupanda

 Msanii mahiri G Solo pamoja na mmoja wa wasimamizi wa kampeni Kwame Anangisye wakiwa na full gwanda

 Watu mbalimbali wakimpongeza baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni

Umati wa wana Mbeya ukimsindikiza Sugu baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni

1 comment:

  1. Nakuana hapo mzee wa Bagamoyo Kwame Anangisye :)

    ReplyDelete