Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Monday, October 11, 2010

JOSEPH MBILINYI ( MR II ) AWAKUNA WANANCHI WA JIMBO LA MBEYA KATIKA MDAHALO ULIO FANYIKA HAPA JIJINI

 Mgombea ubunge jimbo la Mbeya mjini Bw Joseph Mbilinyi (MR II) akijinadi mbele ya Mdahalo
Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II

 Wananchi wa jimbo la Mbeya mjini  wakisikiliza kwa uma kini sera za MR II

 Wananchi pia walipata nafasi ya kuuliza maswari yao kwa wagombea ubunge jimbo la mbeya mjini
 Shabiki wa Chadema jimbo la Mbeya mjini akitulizwa na waandaaji wa mdahalo huu wa wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini ,baada ya kutaka kuvamia jukwaa la MR.II kumpongeza kwa kiasi cha shilingi 2000 kwa maelezo mazuri


 Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II
 Wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini kutoka kushoto Alimu Tokolosi Suali ( DP), Prince Gwamaka Mwaihojo (CUF) wapili kutoka kulia  na Joseph Mbilinyi ( Chadema)
 Walemavu wasio sikia wakisaidiana kusikia

 Hii ndio hali halisi ya siasa za jimbo la Mbeya mjini mgombea wa Chadema avitisha vyama vya upinzani kutokana na ushirikiano mkubwa anao pewa na wananchi wa jimbo la mbeya mjini
Mamia ya wakazi wa jimbo la Mbeya mjini wakiwa wamefurika katika ukumbi wa Mkapa katika mdahalo huu

5 comments:

 1. inatia moyo na usife moyo mr.sugu safari iko karibu kufika mwisho

  ReplyDelete
 2. Wishing u all the best. Wanambeya mjini, mpeni kura za kutosha mpambanaji 'Mr.II' ili upate ushindi mkubwa usio na shaka.

  Hamisi Mikate

  ReplyDelete
 3. Sugu mwanaharakati, nina imani na wewe utapeperusha vyema bendera ya CHADEMA ndani ya Mbeya mjini..Chama chenye watu makini.Ni chama pekee kura yangu itakapoangukia.

  ReplyDelete
 4. mpesya hakuna la maana analolifanya mbeya tunamtoa naombeni mumuunge mkono sugu

  ReplyDelete
 5. Yap Sugu. Dhihirisha damu yako ya harakati.

  ReplyDelete