Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, December 30, 2010

SUGU NA MAISHA YA KILA SIKU KAMA MBUNGE                                    Mh SUGU akifanya kazi ofisini kwa kwake 

 Katibu wa Mbunge ( Mkoloni ) pamoja na Sugu  nyumbani wakibadilishana mawili matatu mara  baada ya kutoka ofisini
 Hapa Danny msimamo akibadilishana mawili matatu na Mh SUGU
Sugu akiwa nyumbani kwake

2 comments:

  1. Hongera sana Mhe Sugu...kila la kheri na hakikisha michezo inaendelezwa kwa kasi sana.

    ReplyDelete
  2. Sasa Mheshimiwa Sugu hebu tuwekee mikakati na mipango yako ya kutuletea maendeleo. na ni maendeleo ya aina gani kwa maana utaweka nguvu zako katika jambo gani. Ni hayo tu mheshimiwa.

    ReplyDelete