Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Friday, August 1, 2014

MH. JOSEPH MBILINYI "SUGU" .... MGENI RASMI UZINDUZI WA LIL STIGGA RISE & SHINE MIXTAPE LEO

 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" leo atakuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa RISE & SHINE Mixtape kutoka kwa mwanadada mkali LIL STIGGA. Uzinduzi huo utakaofanyika katika ukumbi maarufu wa MTENDA SUNSET HALL uliopo soweto Mbeya pia kutakuwa na live perfomance za wasanii kibao pia kwa mujibu wa waandaaji Mashada Inc. Production Tiketi bado zipo kwa 10,000 tu.


No comments:

Post a Comment