Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Thursday, May 17, 2012

MH. JOSEPH MBILINYI (SUGU) AENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA JIMBO LA MBEYA MJINI

 Mbunge wa Mbeya Mjini akipokelewa na wananchi wa Kata ya Nsoho kabla ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika eneo hilo lililo nje kidogo ya mji wa Mbeya 
 Hapa  Mbunge wa Mbeya mjini akiwaelezea wananchi wa kata ya Iziwa baadhi ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo zilizofanyika mpaka sasa hapa Jimboni
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) alipokuwa akiwahutubia wananchi katika ziara ya jimboni kwake Mbeya mjini

 Sugu akisisitiza jambo kwa wananchi wa kata ya Iziwa wakati wa ziara yake ya kuzungukia kata zote za jimbo la Mbeya Mjini
 Wananchi waki msikiliza Mbunge wao Joseph Mbilinyi (Sugu) wakati akiwahutubia katika kiwanja cha kilabu cha Iziwa 
 Mheshimiwa Sugu akikazia jambo ambalo Kamanda Kwame Elly Anangisye (pichani) alikuwa akilipigania kwa maendeleo ya wakazi wa jiji la Mbeya
 Watu wa rika tofauti wa Kata ya Iziwa  wakimsikiliza Mbunge wao Joseph Mbilinyi
  
Mh. Mbilinyi akisikiliza swali lililoandaliwa na Wananchi ili akaulize kwa niaba yao kwenye vikao vijavyo vya Bunge la bajeti.

No comments:

Post a Comment