Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Sunday, September 15, 2013

VYAMA VYA UPINZANI WATOA TAMKO LAO LA PAMOJA KUHUSU KATIBA MPYA



TAMKO LA  USHIRIKIANO WA VYAMA VYA UPINZANI VYA CHADEMA,CUF NA NCCR MAGEUZI JUU YA MUSTAKABALI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUFUATIA KUPITISHWA KINYEMELA KWA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA WA MWAKA 2013
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA AMAENDELEO (CHADEMA) CHAMA CHA WANANCHI (CUF) NA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI TULIKUTANA NYAKATI MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTAFAKARI KUJADILI KUZINGATIA YAFUATAYO JUU YA MUSTAKABALI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA YA TAIFA LETU

KATIBA YA NCHI NI MALI YA WANANCHI NA SHERIA MAMA YA TAIFA HIVYO MCHAKATO WA MABADILIKO YAKE HAUPASWI KUHODHIWA NA CHAMA CHOCHOTE ,TAASISI YEYOTE , KUNDI LOLOTE AU MTU YEYOTE MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAPASWA KUWAPA WANANCHI MFUMO SHIRIKISHI NA UTARATIBU JUMUISHI WA KUWAWEZESHA  KUANDIKA KATIBA YAO WAKIONGOZWA NA MISINGI YA MARIDHIANO  TAMLO WALILOTOA LEO WAKATI WAKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI KUHUSU TAMKO LAO VYAMA HIVYO WATAFANYA MKUTANO MKUU WA VYAMA VYOTE KWA PAMOJA TAREHE 21 SEPTEMBA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI KUWA ELEZEA WANANCHI KUHUSU TAMKO LAO

No comments:

Post a Comment