Ajali na Maafa Nchini yanazidi kushika Kasi,Kama Sikosei Hii ni mara ya Tatu kusikika Kuungua kwa Masoko Mkoani Mbeya., la Kwanza ni SOKO LA MWAJELWA,SOKO LKA UHINDINI na Sasa ni SOKO LA SIDO/Mwanjelwa.!
zifuatazo ni Baadhi ya Picha katika hekeheka za Uokoaji mali
zifuatazo ni Baadhi ya Picha katika hekeheka za Uokoaji mali
Hekaheka za Uokoaji wa Mali
Moja ya Wafanyabiashara aliyeunguliwa Mali zake akiwa Amezimia baada ya Mshtuko Mkubwa wa Kuona Mali zake zikiteketea
Upande wa Pili sehem ambapo Soko jipya linajengwa kukiwa kumejaa Umati Mkubwa wa Watu
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Ezekiel Mgeni akitoa Maelezo Jinsi gani wanajitahidi Kudhibiti Kutokea kwa Ajali Eneo hilo,
Moja ya Mfanyabiashara akiwa amejuruhiwa na Kitu chenye Ncha Kali kichwani wakati akiokoa Mali zake
Zimamoto ikiwasili kwa Kasi Eneo la tukioMshike Mshike
Kiasi kidogo cha Mali zilizo okolewa huku zingine zikiibwa na Kuungua kabisa na Moto
Soko la SIDO likiacha Historia
Baadhi ya Mali zilizo Okolewa
Umati wa Wananchi Eneo la Tukio
Baadhi ya Wafanyabiashara wakishuhudia Mali zao zikiteketea
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu,
No comments:
Post a Comment