Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Saturday, September 24, 2011

MVUA KUBWA HAIKUWA KIKWAZO KATIKA MKUTANO WA MBEMBELA BALI MAFANIKIO MAKUBWA


Peoples!!!!!!!!!!!!!!!................POWER!!!!!!!!!!!!!!!!....

Mh Naomi kaiyula akiwasalimia wakazi wa Mbembela

Mh Sugu akiwa salimia wana mbeya kwa salam ya chama kabla haja mnadi mgombea udiwani kata ya Nzovwe

Mvua sikikwazo sisi tunafanya mkutano hivyo hivyo tofa uti na wenzetu walio kimbia na kutelekeza mkutano wao kama inavyo onekana hapo jini

mkutano ulio telekezwa katika viwanja jirani na mkuta wa CHADEMA KATIKA eneo hilo hilo la Mbembela

Umati mkubwa wa watu ulio jitokeza katika eneo la mkutano bila kujali Mvua iliyo kuwa ikinyesha wakati huo

Chademaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!..................Vemaaaaaaaaaaaaaa

Sugu aki mnadi mgombea wa udiwani kata ya Nzovwe

Katibu wa mbunge Bwana fredric maliki (MKOLONI ) na hakuwa nyuma kuwa elimisha wanambeya kwa kuwapa kipande kifupi cha wimbo wake mpya Kauli bila vitendo

Friday, September 23, 2011

MGENI RASMI KATIKA MAAFARI YA KIDATO CHA NNE KATIKA MOJA YA VITUO VYA ELIMU HAPA JIJINI

 Mh Joseph Mbilinyi akiwa hutubia wanafunzi wa KIHUMBE education center katika mahafari yao ya kwanza tangu kuanzishwa kwa kituo hiki cha elimu.
 Wahitimu wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mh mbunge shuleni hapa
 Akiwa sisitiza wanafunzi wasi lizike na elimu walioipata shuleni hapo nahivyo kuto choka kutafuta elimu kwani ndio ufunguo wa maisha yao
picha ya pamoja na watumishi wa KIHUMBE

Akipata picha ya pamoja na wahitimu wa kidato cha nne shuleni hapo mara baada ya kumaliza ugawaji vyeti

SOKO LA SIDO LA NYANYUKA KAMA UYOGA

Taswira mpya baada ya siku sita toka soko lilipo teketea kwa moto na 
ujenzi wa vibanda ukiendelea kwa kasi ya ajabu
Mh Mbunge akisalimiana na moja kati ya wahanga wa ajari ya moto katika soko la Sido

Wahanga wakitoa maoni yao juu ya nini kifanyike ili soko lirudi katika hali yake kama zamani
Baadhi ya wafanya biashara wakubwa sokoni hapa wakizungumza na Mbunge wao Joseph Mbilinyi
Akina mama nao hawakuwa nyuma kutoa shukrani zao kawani ni upendo wa ajabu kutembelewa na Mbunge katika maeneo yao ya biashara haswa sokoni



Jamani poleni na shuhuri ya ujenzi

Jamani poleni na shuhuri ya ujenzi




lundo la mabaki ya takataka haswa mabati katika njia za kuingia sokoni hapa

Sugu akimwambia Mh Diwani wa forest ahakikiswe usafi unafanyika ili watu wapate njia ya kupitisha magari na kuingiza bidhaa zao kwa urahisi

Mh Joseph Mbilinyi akiendelea na ukaguzi sokoni

mafundi waki endelea na kazi ya kuchomelea nguzo za makontena



moja kati ya majeneleta yanayo tumika katika shuhuri ya kuchomelea makontena sokoni hapa

Friday, September 16, 2011

NI SIMAZI KUBWA KWA WANAMBEYA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KABISA


               Juhudi za uokoaji mali ziki fanyika katika moja ya njia za kutokea sokoni hapa
 Umati mkubwa wa watu walifulika katika kituo cha magari kabwe kushuhudia tukio hiki kama wanavyo onekana hapo juu
 Mabaki ya vibanda pamoja na maduka yaliokuwepo katika eneo hili , ina semekana kulikuwa na wafanya biashara zaidi ya 1400 katika soko hili
 Wanajeshi pia walikuwepo kuongeza nguvu katika uokoaji wa mali za wafanyabiashara pamoja na kuongeza ulinzi
                       Sugu akipita huku na kule kuhakikisha kazi ya uzimaji moto ina endelea
Mh mbunge akitafakari jambo katika eneo la sido ambapo sehemu kubwa ya soko lilikuwa limekwisha teketea kabisa pia anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu.

                  Uokozi wa mali uki endelea sokoni hapa kama linavyo onekana Gari hilo

JICHO LA UCHUNGU NA KAULI YA POLE KWA KILA MMOJA ALIYEGUSWA NA KUUNGUA KWA SOKO LA SIDO MWANJELWA-MBEYA

Ajali na Maafa Nchini yanazidi kushika Kasi,Kama Sikosei Hii ni mara ya Tatu kusikika Kuungua kwa Masoko Mkoani Mbeya., la Kwanza ni SOKO LA MWAJELWA,SOKO LKA UHINDINI na Sasa ni SOKO LA SIDO/Mwanjelwa.!
zifuatazo ni Baadhi ya Picha katika hekeheka za Uokoaji mali


Hekaheka za Uokoaji wa Mali
Moja ya Wafanyabiashara aliyeunguliwa Mali zake akiwa Amezimia baada ya Mshtuko Mkubwa wa Kuona Mali zake zikiteketea

Upande wa Pili sehem ambapo Soko jipya linajengwa kukiwa kumejaa Umati Mkubwa wa Watu
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Ezekiel Mgeni akitoa Maelezo Jinsi gani wanajitahidi Kudhibiti Kutokea kwa Ajali Eneo hilo,



Moja ya Mfanyabiashara akiwa amejuruhiwa na Kitu chenye Ncha Kali kichwani wakati akiokoa Mali zake
                                     Zimamoto ikiwasili kwa Kasi Eneo la tukio

Mshike Mshike

Kiasi kidogo cha Mali zilizo okolewa huku zingine zikiibwa na Kuungua kabisa na Moto
Soko la SIDO likiacha Historia
Baadhi ya Mali zilizo Okolewa
Umati wa Wananchi Eneo la Tukio
Baadhi ya Wafanyabiashara wakishuhudia Mali zao zikiteketea

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi anatoa Pole kwa Wakazi wote wa Jimbo la Mbeya Mjini na kuwasihi wawe Wavumulivu katika Kipindi hiki Kigumu,

Soko la Sido linateketea kwa moto sasa hivi.

Soko la mwanjelwa[SIDO] likiendelea kuteketea kwa moto,hakuna jitihada zozote za kuuzima moto huo huku mamia ya wafanyabiashara wakiwa hawana la kufanya kutokana na wingi zito la moshi na moto mkali unaoendelea kumalizia soko la sido......

Wednesday, September 14, 2011

MGAMBO WA MBEYA

ENEO LA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

Askari wa Jiji la Mbeya wakitoa Plate Numbers kwenye Magari yanayoegeshwasehemu zisizoruhusiwa


                                       Hapa Jamaa alikuwa ananizuia Eti mpaka niwaombe Ruhusa ya kupiga Picha
                                           Haya nimepata Ruhusa.., Mgambo Kazini
 Ukiitazama Vizuri picha hii utaona kibao chenye Alama inayoashiria Hairuhusiwi kuegesha Gari eneo hili