Mgombea ubunge jimbo la Mbeya mjini Bw Joseph Mbilinyi (MR II) akijinadi mbele ya Mdahalo
Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II
Wananchi wa jimbo la Mbeya mjini wakisikiliza kwa uma kini sera za MR II
Wananchi pia walipata nafasi ya kuuliza maswari yao kwa wagombea ubunge jimbo la mbeya mjini
Shabiki wa Chadema jimbo la Mbeya mjini akitulizwa na waandaaji wa mdahalo huu wa wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini ,baada ya kutaka kuvamia jukwaa la MR.II kumpongeza kwa kiasi cha shilingi 2000 kwa maelezo mazuri
Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II
Wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini kutoka kushoto Alimu Tokolosi Suali ( DP), Prince Gwamaka Mwaihojo (CUF) wapili kutoka kulia na Joseph Mbilinyi ( Chadema)
Walemavu wasio sikia wakisaidiana kusikia
Hii ndio hali halisi ya siasa za jimbo la Mbeya mjini mgombea wa Chadema avitisha vyama vya upinzani kutokana na ushirikiano mkubwa anao pewa na wananchi wa jimbo la mbeya mjini
Mamia ya wakazi wa jimbo la Mbeya mjini wakiwa wamefurika katika ukumbi wa Mkapa katika mdahalo huu